BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeuza kwa mnada Dola za Marekani milioni 30 katika Soko la jumla la Fedha za Kigeni (IFEM). Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na leo Machi 18,2025 na Kurugenzi ...