Akiwa amekalia benchi la mbao, mtoto huyu mwenye umri wa miaka mitatu anaonekana mwenye furaha. Anatazama kipindi cha vibonzo cha Ninja Turtle. Ni vigumu kuamini kwamba Comfort anadaiwa kuwa mchawi.
Wapinzani wengi wa rais wa Marekani Donald Trump, wanaamini kuwa itawabidi wasubiri kwa miaka minne ili aweze kuondoka madarakani. Lakini wachawi nchini Marekani hawakubaliani na hilo. Usiku wa manane ...
Susumila has also launched Wachawi International, a talent management company that he intends to grow. It's turning out to be a great week for Susumila after his wife, Kibibi Sali, gave birth to a ...
Watu sita waliodaiwa kuwa wachawi wameuawa kwa kupigwa, kuchomwa moto na kupigwa mawe katika kijiji cha Gasarara, kilomita chache kutoka jiji la Bujumbura, nchini Burundi. Mashuhuda wanasema ...
Maisha ya wazee katika baadhi ya sehemu huko pwani ya Kenya yako hatarini kutokana na dhana ya vijana kwamba wazee hao ni washirikina na wachawi. Vijana hao aghalabu husema wazee hao ndio wahusika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results